Kilimo360 - Smart Farming for Tanzanian Farmers

    Manage your farm smarter, not harder - right from your phone.

    Kilimo360 is the official Smart Farming App for Tanzanian farmers. With support in Swahili & English, it helps you track crops, livestock, and income — all in one simple app. Try it free for 14 days.

    Kilimo360 ni App rasmi ya Kilimo kwa wakulima wa Tanzania. Ikiwa kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza, inakusaidia kufuatilia mazao, mifugo, na mapato, yote kwa urahisi ndani ya app moja. Jaribu bure kwa siku 14.

    Over 1,000 farmers in Tanzania trust Kilimo360 to track everything — from planting to harvest, income to livestock — all in one app, right from their phone.

    Zaidi ya wakulima 1,000 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wanatumia Kilimo360 kufuatilia kila kitu — kutoka kupanda hadi kuvuna, mapato hadi shughuli za mifugo — yote ndani ya app moja, kupitia simu zao.

    Jiunge leo utumie app bure kwa siku 14 / Start your 14 day free trial today

    Tafadhali Chagua Lugha yako / Please select your language

    🧩 What Kilimo360 Does

    Kilimo360 helps you organize your entire farming operation in one simple app. Whether you're planting maize, managing chickens, or tracking expenses — it's all recorded, all in your pocket.

    ✅ Features at a glance:

    • 🌽 Track planting & harvesting

    • 🐄 Manage livestock activities

    • 💰 Record income & expenses

    • 📊 View auto-generated reports

    • 🌍 Use in Swahili or English

    • 📱 No download needed – just open on your phone.

      🧩 Kazi ya Kilimo360 ni Nini?

      Kilimo360 hukusaidia kupanga na kutunza kumbukumbu za shughuli zako zote za kilimo na mifugo katika app moja kwa urahisi kabisa. Iwe unapanda mahindi, unatunza mifugo, au unafuatilia mapato — yote yanarekodiwa muda wowote na popote kupitia simu yako ya mkononi.

      ✅ Vipengele Vilivyopo ndani ya App:

      • 🌽 Fuatilia upandaji na uvunaji wa mazao

      • 🐄 Simamia shughuli za mifugo

      • 💰 Rekodi mapato na matumizi

      • 📊 Tazama ripoti zinazojitengeneza kiotomatiki

      • 🌍 Tumia kwa Kiswahili au Kiingereza

      • 📱 Hakuna haja ya kupakua — fungua moja kwa moja kwenye simu yako

    Kilimo360

    Why Tanzanian Farmers Love Kilimo360

    Easy to use, even without technical experience
    ✅ Works on any smartphone — no app to install
    ✅ Designed with real Tanzanian farming needs in mind.
    ✅ Saves time, improves record accuracy
    ✅ Affordable plans with a 14-day free trial

    💸 Get Started for Free

    No credit card required.

    Try Kilimo360 completely free for 14 days.

    Kwa nini wakulima wa Tanzania wanaipenda Kilimo360

    ✅ Rahisi kutumia hata bila uzoefu wa teknolojia.
    ✅ Inafanya kazi kwenye aina yoyote ya simu ya mkononi — hakuna app ya kupakua
    ✅ Imeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya kilimo nchini Tanzania.
    ✅ Huokoa muda na kuboresha usahihi wa kumbukumbu za shamba na mifugo
    ✅ Bei nafuu na unapata majaribio ya bure kwa siku 14.

    💸 Anza Kutumia Bure

    Hakuna kadi ya benki inayohitajika.
    Jaribu Kilimo360 bure kabisa kwa siku 14.

    📣 What Farmers Are Saying (Testimonial)

    “Before I started using Kilimo360, I was writing everything in a notebook. Now I can check all my farming records from my phone — even totals for each crop. It's simple and clear.”
    – Mwanachuly Masanja, Tabora.

    📣Shuhuda kutoka kwa Wakulima kuhusu Kilimo360!

    “Kabla ya Kilimo360, nilikuwa siweki kumbumbuku nzuri za shughuli zangu za shamba na mifugo, kila kitu niliandika kwenye daftari na wakati mwingine sikuandika kabisa. Lakini sasa naweza kuona na kuweka kumbukumbu zangu zote kwenye simu— hadi jumla ya mazao ya kila aina. Ni rahisi kuitumia na wazi kabisa.”

    – Jumanne M., Dodoma

    📞 Questions? Contact Us

    WhatsApp:

    +255 718 894 372

    +1 (808) 590 5949

    Email : [email protected]
    Instagram: @kilimo360

    Kilimo360 - Manage your farm smarter, not harder - right from your phone.

    Kilimo 360 - Tumia simu yako kusimamia shamba lako kwa akili na si kwa nguvu.

    👩🏽‍🌾 ABOUT THE FOUNDER & CEO

    Dorothy Cosmas is the Founder and CEO of Kilimo360, a smart farming platform revolutionizing how Tanzanian farmers manage their crops, livestock, and finances. With professional roots in both Florida and Tanzania, Dorothy is an experienced IT Auditor and entrepreneur passionate about using digital tools to unlock financial opportunities for underserved communities.

    Driven by her deep understanding of agriculture, technology, and audit systems, she created Kilimo360 to empower smallholder farmers—especially women and youth—to keep better records, qualify for loans, and grow sustainable agribusinesses.

    Her mission is simple but bold: to transform African agriculture from guesswork to growth through digital innovation.

    👩🏽‍🌾 KUHUSU MWANZILISHI & MKURUGENZI MKUU

    Dorothy Cosmas ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa Kilimo360, jukwaa la kidijitali linalobadilisha namna wakulima wa Kitanzania wanavyosimamia mazao, mifugo, na fedha zao. Akiwa na uzoefu wa kitaaluma nchini Marekani na Tanzania,

    Dorothy ni mtaalamu wa ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA na mjasiriamali mwenye dhamira ya kutumia teknolojia kufungua fursa za kifedha kupitia kilimo na ufugaji.

    Kwa kutumia uelewa wake wa kilimo, teknolojia, na mifumo ya kifedha, alianzisha Kilimo360 ili kuwawezesha wakulima wadogo—hasa wanawake na vijana—kurekodi kumbukumbu bora, kupata maarifa na ujuzi wa kukidhi vigezo vya mikopo, na kukuza biashara endelevu za kilimo.

    Dira yake kuu ni kuona kilimo cha Tanzania na Afrika kinabadilika kutoka kilimo cha mazoea hadi kuwa biashara ya faida kupitia ubunifu wa kidijitali.